HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Sonko ahamisha ofisi yake hadi nyumbani Machakos 

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amehamisha  shughuli za serikali yake hadi katika eneo la Mua, kaunti ya Machakos kufuatia kile anachosema ni kuhofia maisha yake.

Sonko anadai kuwa amepokonywa walinzi wake wote na serikali na kuachiwa mmoja tu na hivyo basi ameamua kuhamia mashambani.

Sonko ameendesha mkutano wa baraza lake la mawaziri hii leo huko Machakos huku mkewe ambaye yuko Nairobi akidokeza kuwa hajamuona mumewe  kwa muda wa siku nne.

Show More

Related Articles