HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mvua kubwa yatatiza wenyeji Turkana,Samburu na Marakwet

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika sehemu nyingi za humu nchini imesababisha hasara kubwa katika sehemu mbali mbali, huku maafa yakishuhudiwa na wengi wakiachwa bila makao.
Dan Kaburu anaangazia hali halisi ya mafuriko kutoka sehemu mbali mbali za nchi.

Show More

Related Articles