HabariMilele FmSwahili

Bunge la seneti lapendekeza kuwepo mfumo mpya wa utoaji fedha za kaunti

Bunge la seneti linapendekeza kuwepo mfumo mpya wa utoaji fedha za kaunti. Akizungumza katika kongamano la mabune ya kaunti na seneti huko Mombasa, spika wa seneti Kenneth Lusaka anasema kuendelewa kutolewa fedha hizo kuchelewa kunaathiri maendeleo kwenye kaunti. Amemtaka naibu wa rais William Ruto kuangazia mapendekezo ya seneti kuhusu utoaji pesa hizo ili kuharakisha mchakato huo.

Show More

Related Articles