HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mkengeuko Wa Somalia: KDF wamefanikiwa kuleta amani Afmadow,Dhobley na Kismayo 

Ni karibu miaka 10 tangu wanajeshi wa KDF kuingia Somalia katika operesheni, “linda nchi” iliyopelekea mji na bandari wa Kismayo kurejea mikononi mwa serikali ya wananchi na kisha baadaye kujiunga na wanajeshi wa Amisom katika operesheni ya kurejesha amani nchini humo kwa kukabiliana na kundi haramu la Al-shabab.

Japo baadhi ya wanajeshi wetu wakakamavu wamepoteza maisha yao nchi ya Somalia iliyosemekana kuwa hatari zaidi ulimwenguni inajivunia amani kwa kiasi kikubwa.

Mwanahabari wetu Shukri amerejea kutoka Kismayo, Dhobley, Afmadow na tabda na kutuandalia taarifa hii maalum Mkengeuko wa Somalia.

Show More

Related Articles