HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waziri Matiang’i asisitiza walinzi wa magavana wote kupunguzwa

Waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiang’i ameapa kuwa atafanya kila juhudi kupunguza idadi ya maafisa wa polisi wanaowalinda viongozi mbalimbali nchini.

Kulingana na Matiang’i, maafisa wa polisi watakaotolewa kutoka kwa viongozi hao watahamishwa ili kutoa ulinzi kwa umma.

Matiang’i alikuwa akizungumza wakati bodi ya mamlaka inayohusika na utendakazi wa polisi, IPOA ilikuwa inatoa ripoti ya utendakazi wake baada ya kumaliza kipindi cha muhula wa miaka sita kazini.

Show More

Related Articles