HabariPilipili FmPilipili FM News

Shughuli Za Uchukuzi Zarejea Kawaida Katika Eneo La Kibarani.

Maafisa wa polisi wanaendeleza zoezi la kusimamia utoaji Wa Mafuta katika gari moshi iliyo husika katika ajali eneo la Kibarani kama   imebeba Mafuta ya petroli  hapo Jana na kutatiza usafiri.

Kamanda Wa polisi kaunti ya Mombasa Johnstone Ipara amesema kumesalia matangi mawili ya Mafuta ili zoezi Zima limalizike na Barabara hiyo ya gari moshi iweze kutumika tena.

Hata hivyo usafiri katika barabara ya kibarani Changamwe umerudi kama kawaida huku waendeshaji magari wakihimizwa kuzingatia Sheria ili kukabiliana na msongamano Wa magari

Show More

Related Articles