HabariPilipili FmPilipili FM News

Mutula Junior Ataka NYS  kufutiliwa mbali.

 

 

Mutula amehoji kuwa shirika hilo linafaa kua chini ya wizara ya ugatuzi na ile ya maswala ya vijana kwa kile amekitaja kuwa shirika hilo kushindwa kuchukuwa majukumu yake badala yake kinacho shuhudiwa ni  ufujaji wa fedha ndani ya shirika hilo.

Wakati uo huo kiongozi huyo ameonyesha kutoridhishwa  na hatua ya vijana kunyimwa nafasi katika uongozi wa kisimamia shirika hilo.

Kauli hii inajiri baada ya maafisa wawili wakuu katika shirika hili kujiuzulu.

Show More

Related Articles