HabariPilipili FmPilipili FM News

Mjukuuu wa Malkia Elizabeth,Prince Harry afunga ndoa na Meghan Meckle.

Hatimaye siku iliyosubiriwa na wengi iliwadia, Prince Harry na mchumbawe Meghan Mackle walifunga pingu za maisha hapo jana katika kanisa la ndoa katika Kanisa la Angilika la Mtakatifu George katika eneo la Windsor.
 
Wawili hao walishangiliwa na kusalimiwa na maelfu ya watu waliokuwa wamejipanga pembezoni mwa barabarani kuwaona baada ya kutoka Kanisani.
 
Miongoni mwa wageni washuhuri walikuwa ni pamoja na Malkia Elizabeth wa pili miongoni mwa wengine kutoka Uingereza na Marekani.
 
Mwanamfalme Harry, yupo katika orodha ya kuwa miongoni mwa watu wanaoweza kuwa Wafalme wa Uingereza katika siku zijazo.
Show More

Related Articles