HabariMilele FmSwahili

Viongozi Ukambani wataka gavana Mutua na Kalonzo kuzika tofauti zao

Viongozi wa kisiasa na kidini kutoka jamii ya wakamba sasa wanamtaka kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kuzika tofauti zake na gavana wa Machakos dkt Alfred Mutua. Wakiongozwa na aliyekuwa mbunge Joe Mutambo viongozi hao wanasema sharti Kalonzo kushirikiana na dkt Mutua kwa manufaa ya watu wa jamii hiyo. Wakizungumza huko Machakos viongozi hao pia wamemtaka Kalonzo kutangaza msimamo wake wa kisiasa na kutoa mwelekeo kwa jamii hiyo.

Show More

Related Articles