HabariPilipili FmPilipili FM News

Bidhaa Za Panda Kaunti Ya Mombasa Msimu Huu Wa Ramadhani

Baadhi ya wafanyibiashara hapa mjini Mombasa wanalamikia ongezeko la bei za bidhaa hususan msimu huu wa ramadhani licha ya bidhaa hizo kupunguzwa ushuru.

Vile vile wamelalamikia ongezeko la gharama zengine kama vile mifuko ya kufungia bidhaa mbalimbali ambayo imekuwa nadra kuipata.

Hata hivyo Nassri Ali mmoja wa wafanyibiashara hao amesema wamelazimika kupandisha bei ya bidhaa hizo ili wapate kitu cha kujikimu maishani

Show More

Related Articles