HabariSwahili

Miguna Miguna apuuzilia mbali pendekezo la kuwa naibu gavana

Kizungumkuti kinazidi kuzingira ofisi ya gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko baada ya jaribio lake kumteua wakili na mwanasiasa Miguna Miguna kama naibu gavana wa kaunti ya Nairobi na kuzua hisia na sokomoko huku miguna miguna akipuzilia mbali uteuzi huo.
Hata hivyo hatua hii imekashifiwa vikali na baadhi ya viongozi wa Nairobi haswa wawakilishi wa bunge la kaunti wakisema kuwa wazo hilo limepotoshwa na haliwezekani hata kidogo na kuwa jina lake halitaidhinishwa katika bunge hilo.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.