HabariSwahili

Mwanamume awakatakata kwa panga binti zake 3, Kakamega

Biwi la simanzi limetanda katika eneo la Malava kaunti ya Kakamega baada ya mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 34 na anayefanya kazi katika duka la nyama mjini Malava, kuwakatakata kinyama mabinti zake watatu.
Aidha kinaya ni kama mwanahabari wetu Grace Kuria anavyotuarifu, mama ya watoto hawa anaomba mumewe aachiliwe kwani kulingana naye kilichosababisha atekeleze unyama huo ni maradhi ya malaria ya ubongo.

Show More

Related Articles