HabariMilele FmSwahili

Takriban wahanga 700 wa marufiko wanaugua Kipindupindu na maradhi ya ngozi Tana River

Takriban wahanga 700 wa mafuriko huko Tanariver wanaugua ugonjwa wa kipindupindu na maradhi ya ngozi. Shirika la msalaba mwekundu linasema 242 wanahara na kutapika huku 265 wakiugua mambukizi ya ngozi. Shirika hilo linasema kaunti ya Tanariver ndio ina idadi kubwa zaidi ya waathiriwa wa mafuriko ikiwa na zaidi ya kambi 5. Noellah Musundi kutoka shirika hilo anasema msaada wa dawa na madaktari kuokoa hali unahitajika kwa dharura eneo hilo

Show More

Related Articles