HabariMilele FmSwahili

Waislamu kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan leo

Waislamu kote nchini wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan baada ya mwezi kuonekana jana. Akiwahutubia wanahabari mjini Mombasa kadhi mkuu Ahmed Muhdhar alidhibitisha kuonekana mwezi ishara ya kuanza kwa mfungo. Aidha ameitaka idara ya usalama kuwahakikishia waislamu usalama wao wanapokwenda kusali hasaa nyakati za usiku.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.