HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanafunzi Katika Shule Ya Upili Ya Lamu Wateketeza Bweni.

Wanafunzi wawili wa shule ya upili ya wavulana ya Lamu wametiwa mbaroni na maafisa wa polisi kwa madai ya kuhusika kuteketeza bweni moja shuleni humo.

Inadaiwa walitekeleza uhuni huo baada ya kunyimwa ruhusa ya kusherekea mfungo, kabla ya mwezi wa ramadhani kuanza.

Inaarifiwa kuwa Hiki ni kisa cha tatu cha moto kutokea shuleni humo ndani ya wiki mbili.

Show More

Related Articles