HabariMilele FmSwahili

Watu 3 wafariki baada ya mgodi kuporomoka Juja kaunti ya Kiambu

Watu 3 wamefariki baada ya kuangukiwa na maporomoko ya ardhi katika eneo la Juja kaunti ya Kiambu. Mtu mwingi mmoja anatibiwa katika hospitali ya thika level 5.4 hao walikumbana na mkasa huo walipokuwa wameenda kununua mawe katika mgodi huo kabla ya mvua iliyonyesha sehemu hiyo kupelekea kuporomoka kwake.

Show More

Related Articles