HabariSwahili

Serikali yapunguza walinzi wa gavana kutoka 10 hadi watatu

Serikali imepunguza walinzi wa gavana wa Nairobi Mike Sonko kutoka kumi hadi walinzi watatu tu.
Kulingana  na msemaji wa polisi , hii ni kwenye utekelezaji wa mpango wa kupunguza walinzi  ambao  maafisa wakuu serikalini wamepewa , ili washughulike na masuala mengine ya ulinzi.
Lakini suala ibuka ni kwa nini mpango huo umetekelezwa mapema , ilhali waziri Matiang’i alikuwa amesema kuwa utatekelezwa kufikia mwezi Julai?

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.