HabariSwahili

Zaidi ya familia 25 kusalia bila makao kufuatia gharika Murang’a


Zaidi ya ekari 20 zimeharibiwa na mvua katika kaunti ya Muranga mapema hiii leo huku zaidi ya familia 25 zikisalia bila makao.
Haya yanajiri baada ya mafuriko katika eneo hilo ambapo kwa sasa wakaazi hao wanakadiria hasara huku wakiomba  msaada wa vyakula kutoka kwa serikali kuu .

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.