HabariMilele FmSwahili

Serikali kujenga miundo msingi iliyoharibika kutokana na mkasa wa bwawa la Patel

Serikali itajenga miundo msingi muhimu zikiwemo shule ziliziharibika kutokana na mkasa wa bwawa la Patel kuvunja kingo zake. Akizungumza kwenye ibada ya kuwakumbuka waathiriwa wa mkasa huo. Rais Kenyatta amezifariji falimia zilizowapendeza wapendwa wao huku pia akiwashukuru wakenya na taasisi zilizojitokeza kuwafaa.

Rais Kenyatta pia ametaka wakenya kukumbatia mpango wa serikali wa kupanda miti ili kudhibiti majanga yanyaotokana na mabadiliko ya tabianchi.

Naye naibu rais William Ruto ametoa wito kwa wakenya kushirikiana kukabili majanga badala ya kulaumiana kuhusu wanaopaswa kuwajibika.

Show More

Related Articles