HabariPilipili FmPilipili FM News

Rais Uhuru Kenyatta Ametia Saini Mswada Wa Kuthibiti Uhalifu Wa Mitandao

Kupitia sheria hiyo serikali itabuni kamati ya kitaifa kushughulikia masuala ya kompyuta na uhalifu wa mitandao.

Sheria hizo zinatoa mwelekeo jinsi ya kuwakabili wahalifu wa mifumo ya kompyuta, ikiwemo kuingia kwa akaunti za watu bila idhini, kuchapisha taarifa za uongo, kushirikisha watoto katika picha za ngono miongoni mwa mengine.

Kulingana na kifungu cha 12 cha sheria hizo, atakaye chapisha taarifa za uongo atatozwa faini ya hadi shilingi milioni 5, au kufungwa miaka 2 gerezani

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.