HabariMilele FmSwahili

Miguna Miguna hatarejea nchini kama ilivyotarajiwa

Wakili na mwanaharakati Miguna Miguna hatarejea nchini leo kama ilivyotarajiwa. Katika taarifa Miguna anasema ameahirisha ujio huo akiishutumu idara ya uhamiaji kwa kudinda kumkabidhi pasipoti yake kama ilivyoagiza mahakama. Miguna pia amewaagiza mawakili wake hapa kurejea mahakamani kulalamikia kile anadai ni hatua ya serikali kuendelea kupuuza maagizo ya mahakama

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.