HabariMilele FmSwahili

Rais atia saini mswada utakaowaadhibu wanaosambaza taarifa za uwongo mitandaoni

Rais Uhuru Kenyatta leo ametia saini kwenye mswada utakaotoa adhabu kali ya faini ya shilingi milioni 5 au kifungo cha miaka 2 kwa wanaoeneza jumbe ambazo si za kweli kupitia mitambo ya elekroniki. Bunge lilipasisha mswada huo mwezi jana licha ya lalama kutoka kwa wamiliki wa vyombo vya habari kuwa huenda sheria hiyo ikawakandamiza. Sheria hiyo inalenga kuwakabili wanaowadhulumu wengine kupitia mtandao ya kijamii..

Show More

Related Articles