HabariMilele FmSwahili

Kijana awauwa wazazi wake na jirani yake kabla ya kuuwawa na wenyeji Bungoma

Watu 4 wamefariki baada ya kijana mmoja mdogo kuwaua wazazi wake na jirani katika kijiji cha Siritanyi huko Bungoma. Kijana huyo kwa jina Yusuf Nasieunda aliwashambulia kwa kuwakata kata wazazi wake pamoja na jirani aliyejaribu kuingilia kati. Mamake mshukiwa pamoja na jirani walifariki papo hapo huku babake akifariki alipokuwa akipelekwa hospitalini. Yusuf aliwawa na wenyeji waliokuwa na ghadhabu.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.