HabariPilipili FmPilipili FM News

Wahudumu Wa Tuk Tuk Wanaoshirikiana Na Wahalifu Chuma Chao Ki Motoni.

Idara ya polisi kaunti ya mombasa imeonya kuwachukulia hatua kali wahudumu wa tuk tuk ambao wanaaminika kushirikiana na wahalifu kuhangaisha wananchi.

Kulingana na kamanda wa polisi kanda ya pwani Noah Mwivanda, katika siku za hivi punde baadhi ya wahudumu katika sekta hiyo wamekuwa wakishirikiana na makundi ya kihalifu kutekeleza uhalifu katika maeneo mbalimbali ya kaunti za pwani.

Show More

Related Articles