HabariMilele FmSwahili

Gavana wa Nairobi Mike Sonko atetea utendakazi wake

Gavana Mike Sonko wa Nairobi ametetea utendakazi wake akisema changamoto kadhaa ambazo zimenakiliwa zinashughulikiwa. Akizunguma na wanahabari baada ya mkutano na kamati ya kufufua jiji la Nairobi Sonko ametoa hakikisho kuwa mpango wa ksuafisha jiji unaendelea wakielenga kuajiri vijana watakaoendesha zoezi hilo aktika wadi zote jijini baada ya kufuta kadnarai za wanaozoa tak jiji.

Sonko amesema haya saa chahe tu baada ya ripoti ya utafiti uliofanywa na TIFA kuashiria utendakazi wake ni duni masuala ya usafi wa jiji ukiwa miongoni mwa masuala yaliochangia asilimia kubwa ywa wenyeji kutoridhishwa na kazi yake.

Show More

Related Articles