HabariMilele FmSwahili

Mwili wa mvulana wa miaka 17 aliyezama mto Enziu Kitui waondolewa

Mwili wa mvulana wa miaka 17 aliyezama katika mto Enziu huko Kitui wiki nne zilizopita umeondolewa kwenye mto huo. Hii ni kufuatia oparesheni iliyoongozwa na mkuu wa kitengo cha kukabili majanga eneo hilo Bernard Mwela. Mtoto huyo alisombwa maji alipokuwa akiogelea.

Show More

Related Articles