HabariMilele FmSwahili

Kaunti ya Nairobi yachukua nafasi ya mwisho katika utendakazi wa kaunti

Kaunti ya Nairobi imetajwa kuwa na utendakazi duni zaidi ikilinganishwa na kaunti ya Kisumu na ile ya Mombasa. Utafiti ulioendeshwa na shirika la TIFA unaonyesha gavana wa Kisumu profesa Anyang Nyongo anaongoza kwa aslimia 56 mwenzake wa Mombasa Hassan Joho akiwa na aslimia 50 huku Mike Sonko wa Nairobi akiwa na aslimia 43.

Show More

Related Articles