HabariPilipili FmPilipili FM News

Kaunti Ya Mombasa Ya Nufaika Na Vifaa Vya Kisasa Vya Kutoa Matibabu.

Huduma za matatibabu kaunti ya mombasa zinatarajiwa kuimarika baada ya serikali ya kuanti kupokea vifaa vya kisasa vya kutoa matibabu vyenye thamani ya  zaidi ya shilingi  milioni kumi na moja.

vifaa hivyo kama vile  Vitanda vya kisasa vya wagojwa na majokofu kutoka kwa wafadhili kupitia  seneta wa mombasa Mohamed Faki vinalenga kuboresha matibabu na kuiwezesha kuhudumia  idadi  kubwa ya wagojwa wanaotafuta matibabu.

 

Show More

Related Articles