HabariMilele FmSwahili

Mbunge wa Bobasi Inoccent Obiri aachiliwa kwa thamana

Mbunge wa Bobasi Inoccent Obiri ameachiliwa kwa thamana baada ya kufikishwa katika mahakama ya kisii. Obiri aliyekamatwa siku ya Jumamosi na kusafirishwa hadi kisii ameachiliwa pamoja na mlinzi wake kufutia makosa ya uchochezi na uharibifu wa mali baada ya kuvamia eneo la kuchimba migodi huko Masongo kwa madai wahusika wlaikosa kufuata sheria. Akiongea baada ya kuachiliwa Obiri anasisitiza kuwa hana hatia na kumpongeza wenyeji waliosimama naye

Show More

Related Articles