HabariMilele FmSwahili

Madaktari kutoka Cuba kuwasili nchini mwezi ujao

Magavana wamesaini mkataba baina yao na wizara ya afya utakaowezesha madaktari kutoka cuba kufanya kazi kaitka kaunti mbalimbali. Madaktari hao 100 wanatrajiwa kuwasili nchini mwezi kesho, kila kaunti ikitarajiwa kufaidi na 2 japo watakuwa wakihamishwa kila mara kwa ufanisi bora. Waziri wa afya Sicly Kariuki ameendelea kukariri sababu kuu za kuletwa nchini madakatari hao akisema lengo sio kuwahujumu walio nchini bali kujaza uhaba uliopo hasaa mashinani.

Show More

Related Articles