HabariMilele FmSwahili

Shughuli zakwama katika mahakama ya Eldoret kufuatia mgomo wa mawakili

Shughuli katika mahakama ya Eldoret zimekwama kufuatia mgomo wa mawakili wanaohudumu kwenye mahakama hiyo. Mawakili hao wanalalamikia uhamisho wa kila mara wa majaji na mahakimu. Wanasema ni hali ambayo imechangia msongamano wa kesi kwenye mahakamani hiyo. Mawakili hao pia wametaka kuboreshwa kwa mazingira yao ya kufanyia kazi.

Show More

Related Articles