HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika: Kasisi anayehubiria walevi kwenye vilabu vya vijijini, Kakamega 

Mara nyingi wahubiri hutumia muda mwingi kuhubiri na kuwaombea waumini makanisani huku wakitarajia kwamba, yeyote anayehitaji wokovu atafika kanisani kuombewa.
Mkengeuko wa mambo ni kwamba wengi wanaohitaji kuombewa na kubadili mienendo hawapo kanisani bali kwenye maeneo tofauti ya burudani na hata nyumbani.
Kwenye makala ya Wasiotambulika hii leo tunamuangazia Antony Achesa kutoka Kakamega ambaye ameonelea bora kuondoka kanisani na kutafuta wafuasi kwenye vilabu vya pombe haramu vijijini.

Show More

Related Articles