HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mkasa wa bwawa Solai: Wenyeji wadai bwawa la mauti lilionyesha dalili za kuvunja kingo

 

Wakaazi wa eneo la Solai kaunti ya Nakuru wameirai serikali kuhakikisha ya kwamba mabwawa yaliyosalia katika eneo lile yamebomolewa kutokana na madai kuwa huenda yakasababisha maafa mengine kutokana na hali yake wanayodai ni mbovu.
Haya yanajiri baada ya mojawapo wa bwawa la Patel kusababisha maafa mengi hata baada ya baadhi ya wakaazi wa eneo hili kutoa onyo kwa viongozi wao kwamba bwawa hilo la mauti lilikuwa likipenyeza maji kabla ya mkasa kutokea.

Show More

Related Articles