HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mkasa wa bwawa Solai: Serikali yatuma KDF na NYS kutekeleza juhudi za uokoaji

Hayo yakijiri ni kwamba juhudi za uokoaji kufuatia mkasa wa bwawa la Solai zingali zinaendelea huku maafisa wanajeshi, polisi na vijana wa kutoka shirika la NYS wakiendelea kupekua vifusi kwa utaratibu.
Kufikia sasa idadi kamili ya watu ambao bado hawajulikani waliko ingali kutolewa.
Tayari serikali imetuma msaada wa vyakula na mali nyinginezo kwa waathiriwa ambao wamehamishwa hadi katika shule ya upili ya Solai ambako watakita kambi.

Show More

Related Articles