HabariMilele FmSwahili

Watu 32 wafariki kufikia sasa baada ya bwawa la Patel, Nakuru kuvunja kingo

Watu 32 wamefariki katika mkasa wa bwawa la Patel kuvunja kingo huko Subukia kaunti ya Nakuru. Watu wengine 50 hawajulikani walipo huku kadhaa wakitibiwa katika hosipitali tofauti Nakuru. Maafisa wa shirika la msalaba mwekundu,serikali kuu na kaunti wanaendesha oparesheni hiyo ya uokozi. Tayari shule ya upili ya vijana ya Solai imefungwa kwa muda usiojulikana kama anavyoarifu

Show More

Related Articles