HabariMilele FmSwahili

Wafanyibiashara wakadiria hasara baada ya maduka yao kubomolewa Westlands, Nairobi

Wafanyibiashara katika eneo la Westlands hapa jijini Nairobi wanakadiria hasara baada ya vibanda na maduka yao kubomolewa. Ubomizi huu unatekelezwa na mamlaka ya bara bara za mijini KURA. Mamlaka hiyo inasema hatua hiyo itafanikisha upanuzi wa bara bara za Lower Kabete na Peponi

Show More

Related Articles