HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Viongozi wa ODM waafiki Raila Odinga sharti awe debeni

Kinara wa ODM Raila Odinga sasa atawania tena urais mwaka 2022.

Duru kutoka chama hicho zinasisitiza kwamba lazima wana- ODM wamsaidie pakubwa katika kushinikiza mabadiliko kwa katiba ili atimize ndoto ya kuwa rais wa tano nchini.

Haya yanajiri huku shinikizo likizidi kushika kasi kwa Rais Uhuru Kenyatta kutangaza wazi kumuunga mkono Naibu wake William Ruto ifikapo uchaguzi mkuu ujao.

Show More

Related Articles