HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Kufa Kupona: Kibarua cha kuvuka mto Nzoia kwa magurudumu

Miaka mitatu iliyopita tuliangazia masaibu ya wenyeji wa eneo la Moi Farm huko Trans Nzoia ambao wanatumia mpira wa gurudumu kuvuka mto Nzoia.

Lakini miaka 3 baadaye wenyeji wanasema takriban watu 30 wamepoteza maisha yao katika eneo hilo.

Lakini hilo halijawazuia kuendelea kuhatarisha maisha yao.

Show More

Related Articles