HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wasafiri watatizika Mai Mahiu baada ya kukwama kwenye tope

Huku wakenya wakiendelea kushuhudia msimu huu wa mvua ya gharika ambayo hakika imesababisha maafa na hasara katika maeneo mbalimbali nchini wasafiri kwenye barabara kuu ya Narok kuelekea Mai-Mahiu kwa mara nyingine tena walikumbana na masaibu walipokwama barabarani.

Wakati huu ilikuwa ni kutokana na mafuriko yaliyosababisha msongamano mkubwa wa magari .

Show More

Related Articles