HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mbunge Simon Mbugua na wengine 2 wamefikishwa kizimbani 

Simon Mbugua ambaye ni mbunge katika Bunge la Afrika Mashariki EALA pamoja na washukiwa wengine wawili wameachiliwa huru kwa dhamana ya shilingi laki tano au mdhamini wa kiasi sawa na hicho au shilingi laki mbili pesa taslimu.

Katika mahakama nyingine mshukiwa mwingine mmoja pia ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki moja pesa taslimu.

Wanne hao wamehusishwa na tukio la kudhalilishwa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa muungano wa wafanyibiashara wa katikati ya jiji la Nairobi Timothy Muriuki kwenye hoteli moja jijini Nairobi siku 9 zilizopita.

Show More

Related Articles