HabariMilele FmSwahili

Kenya na Djibouti zasaini mikataba 4 ya kuimarisha ushirikiano wao

Rais Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Djibouti Ismail Omar Guelleh wametia saini mikataba 4 ya kuiamrisha ushirikiano wao. Mikataba hiyo ni pamoja na makubaliano ya kufanyakazi pamoja, ushirikiano wa kuimarisha sekta ya mifugo, sawa na kuanzisha mikakati ya kuondoa visa vya wanaomiliki pasi za wanadiplomasia. Wawili hao pia wamekubaliana kushirikina kukabili utovu wa usalama nchini Somalia miongoni mwa maswala mengine

Show More

Related Articles