HabariMilele FmSwahili

Juhudi za uokoaji katika mgodi ulioporomoka Nyatike zaendelea

Juhudi za uokoaji zinaendelea katika mgodi ulioporomoka katika eneo la Nyatike kaunti ya Migori. inakisiwa kuwa watu sita bado wamekwama katika mgodi huo. Serikali ya kaunti ya Migori imetoa Matinga tinga kusaidia katika juhudi hizo. Licha ya hatari inayowakumba wachimba migodi hao wanasema mgodi huo ni tegemeo lao la kipekee la kujitafutia riziki.

Show More

Related Articles