HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Waheshimiwa kupunguziwa walinzi kwa 50% ifikapo mwezi Julai

 

Zaidi ya maafisa elfu tano wa polisi wanaolinda watu mashuhuri nchini sasa wataondolewa na kutumwa katika maeneo mbali mbali ya nchi kulinda raia ifikapo Julai mosi.
Haya ni kwa mujibu wa Waziri wa Usalama Fred Matiang’i ambaye anasema mwondoko huo unalenga kuongeza idadi ya maafisa kwa wananchi ambayo kwa sasa ni polisi mmoja kwa wananchi mia nne na arobaini.
Hata hivyo ulinzi wa Rais, Naibu wake na aliyekuwa waziri mkuu hautaathiriwa katika mabadiliko hayo.

Show More

Related Articles