HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na upwa: Barobaro anayegaagaa kwa kuuzia wenyeji wa Kariobangi kahawa

Anajulikana na wengi kama msemse katika mtaa wa Kariobangi.

Kazi yake huwa ni kupika na kuuza kahawa mtaani humo kwa wapita njia na wakaazi.

Ni kazi ambayo imempa rizki kwa muda wa miaka minane sasa.

Mwanahabari wetu Yussuf Bakari aliungana naye na sasa anatupambia makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii.

Show More

Related Articles