HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Baraza kuu la ODM laafikia kushinikiza kura ya maamuzi 

Chama cha ODM kimeafikiana kupitia kwa baraza lake kuu la kitaifa kuunga mkono msukumo wa kuwepo kwa kura ya maamuzi ili kuifanyia marekebisho katiba ya sasa kama alivyokuwa amegusia kinara wa chama hicho Raila Odinga.

Kwenye mkutano uliofanyika eneo la Elementaita na ambao wanakamati wa baraza hilo wameweka maafikiano yake kuwa siri chama cha ODM pia kinasemekana kuafikiana kuunga mkono kwa asilimia 100 maafikiano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ili kuwe na maridhiano ya kitaifa na umoja wa wakenya.

Show More

Related Articles