HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Usafiri kati ya Lamu na Malindi wakatizwa kufuatia mafuriko

Wasafiri kutoka Lamu kuelekea Malindi wamelazimika kutembea masafa marefu baada ya mafuruko kukatiza usafiri kwenye barabara kuu in ayounganisha miji hiyo.

Hayo yanawadia huku wenyeji wa Rongai na Kiserian katika kaunti ya Kajiado wakifanya maandamano kutoka daraja la Kwekwe hadi kwenye daraja la Kandisi ambapo watu wanane waliaga dunia wiki iliyopita baada ya kusombwa na maji.

Show More

Related Articles