BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Katibu Wa Afya Kaunti Ya Kwala Amrishwa Kuanzisha Uchunguzi Katika Zahanati Ya Gombato.

Naibu gavana kaunti ya Kwale Fatuma Achani amemtaka katibu wa afya kaunti hio Francis Gwama kuanzisha uchunguzi  wa kina katika zahanati ya gombato dhidi ya madai kuwa mama mjamzito alifariki katika lango la zahanati hio kufuatia utepetevu wa wawahudumu.

Achani aliyekua akizungumza  na wanahabari katika zahanati ya kombani amesema lazima swala hilo lichunguzwe kwa mjibu wa sheria  ili kuona kuwa haki za familia iliyopoteza mpendwa wao na wahudumu  wa zahanati hio inapatikana .

 

Show More

Related Articles