HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Siri ya Usiri: Je, stakabadhi zako unazowachia mabawabu langoni ziko salama?

Mamilioni ya wakenya huulizwa kila uchao kusalimisha vitambulisho vyao wanapozuru majengo au afisi za kibinafsi na za umma na walinzi wa mlangoni.

Lakini je, una ufahamu wa jinsi taarifa hizo zinazonakiliwa zinavyohifadhiwa pindi madaftari yanayotumika yanapo jaa?

Zawadi Mudibo atudukezea jinsi ambavyo huenda wazitangaza siri zako hadharani pasi na ufahamu wako katika makala maalum Siri Ya Usiri.

 

Show More

Related Articles