HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mvua kubwa inayonyesha yaharibu miundo msingi hasa mijini 

Wenyeji wa miji mikuu nchini, Nairobi, Mombasa na Kisumu walalamiia hali mbaya ya barabara na usafi wa mji na mitaa kufutia kazi duni inayotekelezwa na mashirika husika kuthibiti hali hiyo
Katika jiji la Nairobi barabara za mitaani na hata katikati mwa jiji hazipitiki huku magari na wanaokwenda kwa miguu waking’ang’ania nafasi finyu iliyobaki kupitia.
Baadhi ya barabara zilizorekebishwa juzi tu tayari zimeharibika huku kaunti ya Nairobi ikiwalaumu wanakandarasi wanaofanya kazi duni.

Show More

Related Articles