HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mume aangamiza mkewe na wanawe 3 wa kambo, Marurui

Mwanamke wa umri wa makamo ameuawa usiku wa kuamkia leo pamoja na wanawe watatu huku mshukiwa mkuu akiwa mpenziwe wa kiume ambaye anadaiwa kuwa alikuwa ametengana na familia hiyo kwa muda hadi jana alipowatembelea na kufanya kitendo hicho cha unyama katika eneo la Marurui eneo la Roysambu.
Katika kisa kingine mtaani Mowlem eneo la Dandora mume amemwangamiza mkewe kufuatia ugomvi kisha kumeza sumu na kujitoa uhai.

Show More

Related Articles